Breaking News

HERI YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI:



#Ikiwa ni siku pekee kwa kila mwaka ambapo wanawake wote wanasherehekea na kuazimisha kumbukumbu za kutambua thamani ya uwepo wao kwa jamii zetu....
siku ambayo inagusa ubora na fursa za kijamii zinazofanywa kwa mafanikio makubwa na wadada wote Duniani.....
siku ambayo inarejesha na kuikumbusha jamii juu ya nguvu ya mwanamke kwetu na uwezo wao wa kujenga jamii bora.....

#ahsante kwa kila mama bora alouthibitishia Ulimwengu nguvu alonayo juu ya kuitengeneza na kuibadili Duniani kwa kila malez alotoa kwa uzao wake.....

#Shukrani zimwendee kila mzaz anayepambana kumtengeneza mwanae ili aje kuwa bora......au ambaye ni bora kwa sasa kama alichofanya MAMA yangu kwangu.....

#Women's Day ya leo....ikawe ni maalumu kwa wadada wote wanotengeneza fursa za maisha yao kwenye kipato ili kuishi bila utegemezi.....

#Siku ya leo iwe maalumu kwa kila mwanamke anojari na kuithamin NDOA yeke pamoja na misuko suko anopitia......

#Women's Day ya leo ikawaguse wanawake wote ambao wapo hospitali wakiuguza watoto wao....walioko mashamban kutafuta chakula kwa ajiri ya watoto wao.......walioko wodi za WAZAZI wakisubiri au wanojifungua muda huu......wale wote walokimbiwa na waume zao au kufiwa na wandani wao ila bado watoto wao wanaishi kwa FURAHA.......

#Siku ya leo ikawe maalumu kwa kila mdada ambaye yuko bize KUSOMA ili kutengeneza future bora na nzuri kwa ajir yake na JAMII inomzunguka....

#Siku ya leo naipeleka kwa kila Mwanamke anojitambua...anayejari na kutukuza nguvu alonayo Duniani......

#AHSANTE kwa wamama wote wenye hali na moyo wa mafanikio siku zote.

.✍🏽✍🏽✍🏽
By MWINJUMA KIMAYA......
0719 880 514

No comments